ASHUBA
Back to the top

Processes

kubuni mpangilio

Kuna sababu ya kuangalia mazingira na kutafakari mbinu za mpangilio. Nafasi nzuri ya kuandika chini matarajio hutoa fursa ya mtendaji kutimiza malengo husika. 

1. mazungumzo ya awali

Kujadili maswala husika kuhusu bajeti, matakwa na utekelezaji. Ni vyema kutoa fursa kwa pande tofauti kuhusiana na mazingira. Kuweka lengo katika muda muafaka wa ukamilishaji na kujadili mbinu husika katika kila ngazi ya ujenzi.

2. mchoro kwa kifupi

Mkandarasi mbunifu ni bora katika upangiliaji wa nyumba na mandhari yako. Kupata mchoro kwa ufupi hukupa fursa ya marekebisho katika mpangilio huo. Ni vyema kujadili mapendekezo ya matumizi ya nafasi kwa kutumia michoro tofauti.

3.  URATIBU kazi NA mIPANGO

Kuhakikisha kila nyenzo inatumika ipasavyo ni vyema kuratibu washiriki katika mpango wako wa ujenzi. Kutatua changamoto zilizopo katika mazingira ya mradi, kuhakiki ufanisi katika vitengo na ngazi za mbali mbali.

4. MPANGO & MICHORO YA 3D&2D 

Mbunifu majengo hukupa fursa ya michoro yenye uhalisia iitwayo 3D & 2D.

5. BIDHAA NA VIFAA

Nulla in ultrices lacus. Aenean nec dapibus ex. Pellentesque sollicitudin pellentesque commodo. Suspendisse pulvinar vitae justo sit amet finibus. Quisque volutpat a nisi feugiat cursus. Duis euismod quis est ut vestibulum. Nunc ullamcorper enim non urna consectetur fermentum. Aliquam sit amet suscipit quam. Nunc venenatis sit amet leo non suscipit. Aenean cursus lorem eu augue condimentum, non maximus lectus dignissim. Suspendisse mattis nulla vitae egestas placerat. Curabitur volutpat mi non congue luctus.

6. UTEKELEZAJI

Badili nafasi za mahala pako

DUKANI

ASHUBA HARDWARE presents Building Materials production at MAPINGA alongside UDINDIVU & AMANI
A Top Notch SHOWCASE Oriented ASB Theme by OUR SHOP

ASHUBA © 2024