Wire za Umeme

Sh28,000.00Sh285,000.00


SKU N/A Categories,

Wishlist

Description

Bei elekezi ni kwa roll ya wire husika, roll huwa na mita 100..Vivyo bei ya reja reja unaweza kuipata kwa kugawanya idadi ya mita katika roll. Mara nyingi huongezeka kidogo kutokana na aina ya wire.

Bei za wire hubadilika mara kwa mara, hivyo tunashauri upige simu kwa uhakiki wa bei ya siku ya leo.

Additional information

Dimensions N/A
Wire

1.5 Single Euro, 1.5 Single MQ, 1.5 Twin Euro, 1.5 Twin MQ, 2.5 Single Euro, 2.5 Single MQ, 2.5 Twin Euro, 2.5 Twin MQ, Wire wa Solar