Waterproof Box

Sh5,000.00Sh10,000.00


SKU N/A Category

Wishlist

Description

Waterproof Box hulinda nyaya na baadhi ya vifaa vya umeme kwenye maungio dhidi ya maji, vumbi nk. Waterproof box hutumika hasa kwenye camera na mifumo ya mashine ambayo baadhi ya vifaa vya umeme vinawekwa ambapo mvua inaweza kunyeshea.

Waterproof box huja katika size tofauti na hutengenezwa na makampuni mbali mbali. Waterproof box zipo aina tatu, kubwa, kati na ndogo.