Wall Putty WhiteSkim

Sh20,500.00 Original price was: Sh20,500.00.Sh20,000.00Current price is: Sh20,000.00.



Wishlist

Description

WhiteSkim wall putty hutengenezwa kwa madini ya white cement ambayo huzuia chumvi chumvi na fungus kwenye ukuta wako. WhiteSkim huja katika mifuko wa kilo 25. Okoa gharama kwa kuchukua WhiteSkim wall putty ambayo huchanganywa na maji tu.