Twyford Tiles 40 x 40

Sh35,000.00 Original price was: Sh35,000.00.Sh29,500.00Current price is: Sh29,500.00.



Wishlist

Description

🏠 ASHUBA Tile Calculator

Hesabu Vigae Unavyohitaji kwa Chumba Chako

📏 Vipimo vya Chumba

💡 Jumla ya Eneo: 0.00

🎨 Chagua Ukubwa wa Vigae:

40cm × 40cm
12 vipande kwa boksi
1.92 m² kwa boksi
25cm × 40cm
15 vipande kwa boksi
1.50 m² kwa boksi
30cm × 30cm
17 vipande kwa boksi
1.53 m² kwa boksi
50cm × 50cm
7 vipande kwa boksi
1.75 m² kwa boksi
60cm × 60cm
4 vipande kwa boksi
1.44 m² kwa boksi

📊 Matokeo ya Hesabu

Maboksi Unavyohitaji
--
Jumla ya Vigae
--
Eneo la Chumba
--
Ziada (10%)
--

📈 Uwiano wa Eneo

0%
Kijani = Eneo litakalofunikwa na vigae

💰 Muhtasari wa Gharama (Kwa Muongozoni)

Maboksi ya msingi: --
Maboksi ya ziada (10%): --
Jumla ya Maboksi: --
💡 Kidokezo: Hii ni hesabu ya nadharia. Katika uhalisia, unaweza kuongeza nafasi ya 10-15% kwa ajili ya kupanga na kuhamisha.

 

Twyford Tiles kwa ubora wa tiles zako, Tiles za Twyford huja katika size mbalimbali ikiwamo 25 x 40, 30 x 30, 40 x 40, 50 x 50 na Scutting Tiles. Tiles mara kwa mara hutofautiana katika mng’aro na vivyo katika bei. Tiles za Granite huwa na mfano wa kioo kwa juu na hivyo kufanya mng’aro kwenye sakafu pale taa iangazapo.

Box la 25 x 40 huwa na vipande 15

Box la 30 x 30 huwa na vipande 17

Box la 40 x 40 huwa na vipande 12

Box la 50 x 50 huwa na vipande 7

Scutting Tiles zinakaa 25

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Whas simu au tuma sms whatsapp kwa kuona tiles zilizopo na bei ya sokoni