Twyford Tiles 40 x 40

Sh35,000.00 Original price was: Sh35,000.00.Sh29,500.00Current price is: Sh29,500.00.



Wishlist

Description

Twyford Tiles kwa ubora wa tiles zako, Tiles za Twyford huja katika size mbalimbali ikiwamo 25 x 40, 30 x 30, 40 x 40, 50 x 50 na Scutting Tiles. Tiles mara kwa mara hutofautiana katika mng’aro na vivyo katika bei. Tiles za Granite huwa na mfano wa kioo kwa juu na hivyo kufanya mng’aro kwenye sakafu pale taa iangazapo.

Box la 25 x 40 huwa na vipande 15

Box la 30 x 30 huwa na vipande 17

Box la 40 x 40 huwa na vipande 12

Box la 50 x 50 huwa na vipande 7

Scutting Tiles zinakaa 25

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Whas simu au tuma sms whatsapp kwa kuona tiles zilizopo na bei ya sokoni