Description
Pande mbili zinakua na tredi kwa ajili ya kuunganisha kifaa au fitting. Mifumo mingi ya pipe huwa ni plastic na hutumia mfumo ulio sambamba. Vivyo ni kusema kwamba diameta hubaki sawa sawa kwa kipimo chote.
ASHUBA
Hardware & Building Materials