Description
Monkey wire ni chuma iliyozungushwa na plastiki (pvc) imara kuzuia kutu. Monkey wire huja katika futi 4 na 5. Monkey wire hufaa katika kushikiza nyavu za dirisha la chumba, Monkey wire huweza pia kutumika kama chekechekeo.
ASHUBA
Hardware & Building Materials