Mikanda ya Gypsum

Sh2,500.00Sh3,500.00



Wishlist

Description

Gypsum cornice (Mikanda ya Gypsum) imara, kuna aina kadhaa na size pia. Mikanda ya Gypsum isiyo na urembo (plain), yenye mstari wenye mawimbi (nyoka nyoka), mikanda ya maua, ya khaki yenye jaladio la kahawia nk. Mikanda huwa katika size ya stick yani inch 2, mikanda ya inch 3 na 4″ nk

Additional information

Aina

Stick & Standard, Khaki