Marine Board

This product is currently out of stock and unavailable.


SKU N/A Categories,

Wishlist

Description

Marine Board hutumika katika sehemu mbali mbali, ikiwemo kushikilia zege wakati wa ujenzi wa nguzo, msingi nk. Marine huweza pia kutumika katika kutengeneza makabati, nafasi za kuweka vifaa mbali mbali huweza kustahimili maji na vivyo hutumika pia katika ujenzi wa kabati za mashua nk.

Marine Board zipo za 12mm na 18mm, hutegemea mahitaji ya nyumba yako..

Additional information

Size

Marine 12mm, Marine 18mm