Gypsum Powder Andika

Sh30,000.00 Original price was: Sh30,000.00.Sh27,000.00Current price is: Sh27,000.00.



Wishlist

Description

Gypsum Powder huja katika mifuko ya kilo 25. Gypsum Powder ya ANDIKA hutengenezwa Thailand na hujulikana kwa ubora wake katika SKIMMING ya nyumba. Gypsum powder hii ni bora na huleta muonekano mweupe na nadhifu.

Bei ya Gypsum Powder ya ANDIKA hubadilika mara kwa mara kutokana na upatikanaji wake sokoni.