Gully Trap

Sh6,000.00 Original price was: Sh6,000.00.Sh5,000.00Current price is: Sh5,000.00.

G Trap ni kifaa kinachopeka maji machafu kutoka katika sinki na kupeleka kwenye chemba ya nyumba yako. Okoa gharama za uvujaji kwa kuchagua G Trap bora



Wishlist

Description

Gully Trap ama G Trap, hupokea maji machafu kutoka katika sinki na kupeleka kwenye chemba za nyumba yako. G Trap inavyokua bora, huzuia harufu kurudi ndani na kuboresha mifumo ya maji, vivyo kuzuia uvujaji holela. G Trap bora hupunguza gharama za uharibifu na kulinda nyumba yako.