Fence Wire – Galvanized

Sh60,000.00Sh80,000.00



Wishlist

Description

Galvanised Fence wire husaidia kudhibiti kutu, Fence wire huja katika urefu wa mita 14 na urefu wa futi 6. Fence wire pia huwa katika unene na ujazo tofauti. Unene wa wire mara kwa mara huwa za 2mm na 2.5mm, ujazo wa wire hutokea mita 10 mpaka 14. Licha ya mita kusemekana ni 15 mara nyingi huwa na pungufu ya japo mita 1.

Fence wire za mita 10 huwa na bei pungufu na kutofautiana mara kwa mara kutokana na bei ya chuma. Kwa sasa bei ya reja reja ni elfu 60 mpaaka 65 kutokana na ujazo au urefu wake. Zingatia urefu na ubora wa wire unaotumika katika kutengeneza fence wire. Hakikisha wire huo haupati kutu,

Fence wire hutumika katika kinga za eneo lako, pia huweza kuwekwa kama kinga ya mifugo yako kama kuku, mbuzi nk. Fence wire hutumika pamoja na nguzo zinazozipa ukakamavu na uweza wa kuzungushiwa katika eneo. Nguzo hizi hutengenezwa kwa saruji au wengine hutumia miti aina ya mikurunge isiyoliwa na wadudu.

Additional information

Size

2mm, 2.5mm