Cement | Saruji

Sh15,500.00Sh16,000.00



Wishlist

Description

Cement ya Extra ina kiwango cha 32.5, unaweza kutumia cement hii katika ujenzi na kupiga plaster. Cement Plus ya Twiga na Dang’ote unaweza kutumia katika ujenzi, kujenga msingi au kufyatua tofali nk. Simenti (Cement) au Saruji huitaji kuchanganywa na mchanga na maji kidogo ili kutumika katika sehemu mbali mbali.

Additional information

Type

Cement Extra 32.5, Cement Plus 42.5