Description
Brush za rangi zipo aina mbili kuu, za Tanzania (TBP) na China. Huanzia inch 1 mpaka 6, baada ya matumizi ukidumbukiza brush katika mafuta ya taa unaweza kuitumia tena baadae. Hii huzuia rangi kuganda katika brush na vivyo kukupunguzia gharama ya manunuzi mapya.