Description
Bottle trap za sink la jikoni huja kutokana na mfumo wa sink, vivyo huwa moja au mbili kama sink lina pande husika. Sink la jikoni lenye sehemu mbili huitaki “Bottle Trap Double” na vinginevyo.
Bottle Trap DOUBLE – 8000
Bottle Trap SINGLE – 6000