Bottle Trap

Sh5,000.00 Original price was: Sh5,000.00.Sh3,500.00Current price is: Sh3,500.00.

Bottle Trap huja katika size za 1 1/4 na 1 1/2 mara kwa mara. Bottle trap za sink la kunawa mikono zipo tofauti na za sink la jikoni, Hakikisha unachukua bottle trap wakati unafanya manunuzi ya sink lako.



Wishlist

Description

Bottle trap huundwa kwa plastiki na hufanya kazi ya kupokea maji yanayotoka kwenye sinki. Bottle trap (PVC) huja katika size za 1 1/4 na 1 1/2, hakikisha unachukua bottle trap wakati unafunga sink lako. Bottle trap za maji ya kunawa huwa tofauti na za beseni la jikoni. Licha ya hivyo, bottle trap hizi huja katika mfumo wa utumbo, vivyo huweza kukunjika na kusaidia mfumo wa maji taka,