Bib Cork 1/2″ & 3/4″

Sh7,500.00Sh16,000.00

Bib cock huja katika size tofauti, 1/2″ na 3/4″. Bib cock hukusaidia kukinga maji kutoka katika mfumo mkuu. Bomba hili huwa katika aina ya Pegla, Euro, Sanwa na Pex.


SKU N/A Category

Wishlist

Description

Mabomba ya Pex na Sanwa hupendelewa zaidi. Unaweza kupata cock ta kufuli ya Sanwa kwa ulinzi wa matumizi ya maji kutoka katika bomba lako. Bomba la Pex hudumu kwa muda mrefu na hupunguza matatizo ya mara kwa mara.

Bib Cork 1/2″ Pex & Sanwa – Tsh. 10,000/=

Additional information

Size

1", 3/4", 1/2"