Adapta Tank PVC & IPS 1″

Sh13,000.00 Original price was: Sh13,000.00.Sh12,000.00Current price is: Sh12,000.00.

Adapta ya Tank hufanya kazi kwa kusaidia kimiminika kutoka kwenye tank lako kupitia bomba. Bomba huweza kuwa ya inch kadhaa kutokana na Adapta tank utayo chagua. Adapta Tank zipo aina ya PVC na IPS.

Adapta tank huja katika saizi ya mbali mbali, sisi tuna za inch 1″ na 3/4″ PVC na IPS.



Wishlist