About Us
ASHUBA Hardware & Building Materials ni wauzaji wa vifaa vya ujenzi kwa takribani miaka 10. ASHUBA ipo katika mkoa wa Pwani, Bagamoyo. Tunatoa huduma Jumatatu mpaka Jumamosi, Muda 0715 mpaka 1130.
ASHUBA inazingatia ubora wa ujenzi wako, vivyo kukupatia bidhaa salama zenye kudumu. Tofali nzuri za 5″, 6″ na Chipping zinapatikana katika maduka ya ASHUBA; Udindivu, Amani na Mapinga. ASHUBA inatoa huduma ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya bomba na umeme.
ASHUBA Wakala, kwa mahitaji ya kufanya miamala mbali mbali. Wakala wa CRDB, NMB, M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Huduma ya wakala hutolewa mpaka saa 12 jioni, Jumapili saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana.
2021
ASHUBA
TUPO TAYARI KUHUDUMIA UJENZI WAKO
ASHUBA HARDWARE & BUILDING MATERIALS
Pata urahisi wa usafirishaji wa bidhaa zako. Duka pembezoni mwa barabara ya Bagamoyo. Wateja wetu waishio karibu ni rahisi kupata bidhaa hapa.
Wakazi wa vitongoji mbalimbali karibu hupata urahisi wa huduma bora kutoka duka la ASHUBA lililopo Udindivu. Tofali imara kwa ujenzi maradufu.
Mazingira mazuri yenye mvuto na utulivu. Wakazi walio karibu na duka la Amani hunufaika kwa urahisi wa huduma bora karibu zaidi.
Tupendezeshe Nyumba Yako