Description
Sprinkler/spray irrigation is the method of applying water to a controlled manner in that is similar to rainfall. The water is distributed through a network that may consist of pumps, valves, pipes, and sprinklers. Irrigation sprinklers can be used for residential, industrial, and agricultural usage.
Sprinkler hutumika kwenye bustani kwa ajili ya kunyeshea maua kama mfumo wa mvua ulivyo. Sprinkler hufanya kazi kwa kupokea maji kutoka kwenye mpira na kuyarusha juu ili kufikia kipande fulani kwa marefu na mapana. Nguvu ya maji husaidia umwagiliaji wa kasi na kufikia sehemu pana zaidi.