Description
Circuit breaker ni kifaa kinachotumika kulinda viunganishi vya nyanya katika main switch (distribution boards). Circuit breaker huingilia kati pale umeme unapozidi kiwango kinachostahili, vivyo hukinga dhidhi ya ajali zinazoweza kusababishwa na mawimbi ya umeme.
Kampuni mbali mbali hutengeneza circuit breaker, ikiwemo Tronic, Eurotrix nk