Description
Soap Dispenser hutumika katika kuhifadhia sabuni, ni nzuri kwa sehemu za uma. Soap dispenser ni imara, hulinda na kutunza sabuni yako na husaidia matumizi mazuri. Soap dispenser zipo aina mbali mbali, ikiwemo; automatic soap dispenser ambayo hutumia battery.
Hizi Soap dispenser ni za kubonyeza, hupunguza gharama za kubadili battery na kutimiza lengo kuu la kukinga sabuni na matumizi mabaya yanayoleta upotevu wake. Soap dispenser hizi hutengenezwa na kampuni ya Bobo