Description
Vyoo vya kukaa kutoka India huwa imara na hudumu kwa muda mrefu. Vyoo hivi huja na mifuniko, ingawa changamoto kubwa na ustahimili wa mifuniko hii. Mingi huharikiba screw zake na vivyo huleta changamoto katika kutafuta marekebisho. Zingatia utunzaji wa mfuniko wa choo chako.