Description
🏗️ ASHUBA BUILDING MATERIALS CALCULATOR
Hesabu Fence Wire, Matofali, Saruji na Vifaa Vingine vya Ujenzi
🏗️ Chagua Bidhaa Unayohitaji
📐 Vipimo vya Eneo
⚙️ Vipimo vya Waya
🔗 Chagua Aina ya Waya
🏠 Vipimo vya Jengo
🚪 Mfumo wa Ukuta
🏗️ Aina ya Kazi
📊 Matokeo ya Hesabu
⚠️ Maelezo Muhimu
• Bei hizi ni za mwanzo tu na zinaweza kubadilika.
• Wasiliana nasi kwa bei za sasa na mazito/masalio.
• Tunashauriuku nunue vifaa vingine vya ziada (5-10%) kwa mazito.
💡 Mapendekezo ya Utaalamu
- Hakikisha umepima eneo kwa uangalifu kabla ya kununua vifaa
- Ongeza asilimia 5-10 ya vifaa kwa mazito na masalio
- Tumia Kurunge za ubora wa juu kwa Waya wa kudumu
- Weka Waya kwa kina cha mita 0.6 angalau
- Misumari 2"-5" ni TSh 3,500/kg, misumari 1"-1½" ni TSh 5,000/kg
- Wasiliana na fundi wa uzoefu kwa ushauri zaidi
Galvanised Fence wire husaidia kudhibiti kutu, Fence wire huja katika urefu wa mita 14 na urefu wa futi 6. Fence wire pia huwa katika unene na ujazo tofauti. Unene wa wire mara kwa mara huwa za 2mm na 2.5mm, ujazo wa wire hutokea mita 10 mpaka 14. Licha ya mita kusemekana ni 15 mara nyingi huwa na pungufu ya japo mita 1.
Fence wire za mita 10 huwa na bei pungufu na kutofautiana mara kwa mara kutokana na bei ya chuma. Kwa sasa bei ya reja reja ni elfu 60 mpaaka 65 kutokana na ujazo au urefu wake. Zingatia urefu na ubora wa wire unaotumika katika kutengeneza fence wire. Hakikisha wire huo haupati kutu,
Fence wire hutumika katika kinga za eneo lako, pia huweza kuwekwa kama kinga ya mifugo yako kama kuku, mbuzi nk. Fence wire hutumika pamoja na nguzo zinazozipa ukakamavu na uweza wa kuzungushiwa katika eneo. Nguzo hizi hutengenezwa kwa saruji au wengine hutumia miti aina ya mikurunge isiyoliwa na wadudu.