Description
Gully Trap ama G Trap, hupokea maji machafu kutoka katika sinki na kupeleka kwenye chemba za nyumba yako. G Trap inavyokua bora, huzuia harufu kurudi ndani na kuboresha mifumo ya maji, vivyo kuzuia uvujaji holela. G Trap bora hupunguza gharama za uharibifu na kulinda nyumba yako.