Astra Tank
Sh45,000.00 Original price was: Sh45,000.00.Sh36,500.00Current price is: Sh36,500.00.
Astra Flash Tank hukuwezesha kufanya matumizi mazuri ya maji msalani. Tank hizi hutumika katika vyoo vya kuchuchumaa na hutengenezwa na kampuni tofauti. Astra Tank ni miongoni mwa tank za bei nafuu na ubora.